Number 10, Dzhambik Khatokhov,kg 162
View attachment 385847 uyu dogo ana mika 11 na kwao ni Kabardino-Balkaria, Urusi, alizaliwa kawaida kama watt wengne na alikuwa na kilo 3.3 cha kushangaza baada ya mwaka akawa na kilo 14 akiwa na mika mitatu, alijikuta akiweza kunyanyua hata vitu vyenye uzito wa kilo saba kwani alikuwa na kilo 41, wazazi wake wali wambiwa wa hakikishe wana mpa diet maalum na apunguze kula ispo kuwa uji maalum ndio anywe, lakn cha kushangaza mama yake alisema Mungu ndo kamuumba mwanae na kiumbe cha Mungu hiko kiachwe kama kilivo, Sasa ana urefu wa futi 5'2 na ana shkiria rekodi ya kuwa mtt mnene zaid kulko wote duniani na akhera