Makapuku Forum

Number 7, Saudia Flight 163 – 30, walifariki 19 August 1980, ndio ndege hii ilipopata janga hilo
Inasemekana kuwa wakati ndege iko angani kuna mmoja wa mahujaji wa kutoka pakistan alikuwa akichemsha chai kwenye butan stove na ndiposa moto uka kama kuanzia kwenye sehem ya kuhifadhi mizigo na wakati marubani walipo hisi kuna kitu kina waka hapo wali omba wafanya kushuka kwa emergemce uwanja wa ndege wa Riyadh, na kweli walikubaliwa
Lakini ndege ilipo shuka haikusimama pale ambapo zima moto walihisi ita simama hivo na kufanya wachelwe kuifikia takriban dakika 5,na kitu, baada ya kushuka ndege hiyo , watu wa zima moto hawaku isogelea kwani injini ilikuwa haija zimwa na ilichukua kama dakika 10,na zaid kuzima, wakati ilpo kwisha zimwa tuu, injinia mmoja alienda karibu na mlango kuufungua kwani marubani hawakuwa wamefungua, ndege hiyo ililipuka hapo hapo
Sasa wakati wa uchunguzi wa maiti iligundulika kuwa ni watu waili tuu ambao ni mainjinia walikifa kwa mlipuko ika wengine wote walikufa dakika 23,kabla, hivo ina aminika kuwa abiria hao walifariki kwa moshi mda ambao watu wa fire walikuwa wakiifuata ndege na wakisubiri injini ifike, na kwa kuwa abiria wote mabaki yao yalikutwa kwenye nusu ya mbele ya ndege walithibitisha kuwa moshi ndio uliwaua na si moto

Hawa walikufa kifo cha mateso zaid nadhan kuliko ajali nyngne
 
Duuh hatari mkuu
 
Hii kali sasa
 
Number 6, Air India Flight 182 – 329,walifariki 23 June, 1985, ndge hii ililipuliwa na bom na kundi la
Sikh militant liitwalo Babbar Khalsa,
Kwa kiwa skuepo kwenye hyo ndge mi sjui kiliwatokea nn ila we ujue ni bomu ndo liliwaua hawa raiaa
 
Chai ili7bisha maskini
 
Huu sasa uzembe... Kwani chai si angesubiri kupewa jamani mpaka achemshe mwenyewe??
 
Number 5, Ermenonville air disaster–346,walifarikimnamo tarehe 3 March 1974, kijana mmoja alianza kazi huko uwanja wa ndege wa uturuki na alianza kazi kama mfanya kazi wa kupakia mizigo kwenye ndege na ndege yake ya kwanza kuanza kaz ilikuwa ni Turkish Airlines Flight 981, iliyo kuwa inaelekea uingereza, lakin kwa kuwa hakujua vzuri either kituruki au ki inglish hakusoma maelekezo vzuri jinsi ya kufunga mlango kwenye bonet ya kubebea mizigo
Wakati ndege ina toka uturuki, ilipitia paris, na kuwachukua watu 50 zaid na wakati ndege ikikaribia kufika huko u heathrow uwanja wa ndege wa London, buti ya mizigo, kutokana na loki kuwa ilikaa vibaya ilifunguka ,ndege ikiwa zaid ya mita 23000 angani, kwanza watu 6 walikuwa kwenye mizigo walitupwa mpaka chini , na miili yao ilikutwa kilo mita kama 20 kutoka ilipo angukia ndege, na kwakuwa ndege ilianza kuingiza hewa na kusababisha milipuko, marubani walishindwa ku i control na hivo kuanguka huko emoniville, japo wanasema tangu hapo ilibidi warahisishe ufungaji wa buti ya mizigo na waweke lugha nyingi kadri wawezavyo za maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…