Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hihihiii...Hehehehe
2000 nilikuwa mwadui fundi wa mgodi![]()
Hihihiii...Hehehehe
2000 nilikuwa mwadui fundi wa mgodi![]()
Hahahaha malinzi mwakani uchaguzi wa tffWaanzishe biashara ya maandazi
Mpira pesa umewashinda
![]()
![]()
![]()
..............
Ukituma ikifika ndo ntatoka..Haya ila uje uspo kuja naitoa juu kwa juu
HahahahaWw ni Kimba au Yanga?
![]()
![]()
![]()
.............
Tulijua itakuwa Azam tvTeh teh
Watakuwa wameiombea mech kabla haija anza
Ana madreads hiviKuna mchezaji mpya wa Azam ametokea Kama sio Naijeria ni Ufaransa nae amecheza leo? maana alijitapa sana
Simpendi malinzi hadi basi yaanHahahaha malinzi mwakani uchaguzi wa tff
Rushwa + kujuanaHahahaha malinzi mwakani uchaguzi wa tff
Jamani...Duuuh!
Uko mwachie bwana shururu
Amekuwa mwenyekiti wa chama cha soka cha mkoa wa KageraSimpendi malinzi hadi basi yaan
Mara moja kwa mwaka sio mbayaAsa jaman na wenye ATN waacheni leo wafaidi
Jana nlikuwa tff kule wakasema et kuna mazungumzo na azam hawaja ya malizaTulijua itakuwa Azam tv
Hahahaha
Akichagua kimba hapo cjui itakuwaje
Simjui uyoooAna madreads hivi
Usikute ndiyo wametoa pesa nyingi kushinda azamMechi wamepeleka kwenye king'amuzi cha ting channel ya atn
Ndio tatizo la mpira wa kibongo . malinzi hakuna kitu paleRushwa + kujuana
Atashinda kwa kishondo tu
Mambo yetu waafrika
Matumbo makubwa akili mdogo
![]()
![]()
![]()
...............
Mi Yanga....na kuna mtu anaitwa sijui Machokolo Mohamed ni mtu mpya mfaransa au Mnaijeria alijishaua sana yule kwamba eti amekuja kumaliza kila kitu..kiko wapi!Ww ni Kimba au Yanga?
![]()
![]()
![]()
.............
Haya njoo.
Naskia jana asha shnda uenyekiti kagera hukoRushwa + kujuana
Atashinda kwa kishondo tu
Mambo yetu waafrika
Matumbo makubwa akili mdogo
![]()
![]()
![]()
...............