Ni nin tena? pole sanaNaumwa...
Tupo, siku hizi Kuna baridiAsante mkuu, habari ya joto city?
Duh! Mbaya sana.. Ni yule jirani ama mtu wa humu?Hivi jana ulikuwa wapi?? Mwenzio yalinikuta yani binamu akadiriki kuita mtu PM mbele ya macho yangu
Haha ndo maana yakeAbiria lazma achunge mzingo...safi Briz
Sawa sawa kabisa
Mvua inanyesha?Tupo, siku hizi Kuna baridi
Ye mwenyewe hajasema kuwa alitania wewe umijuaje????Alitania
Nani huyo aliitwaAlitania
Hivi toka lini Dar kukawa na baridi????Tupo, siku hizi Kuna baridi
Dah hivi kumbe tulimezeshwa tango poriFIX ZA BITOZ:
Tukiwa mdogo tuliaminishwa kwa kupigiwa fix eti yule mfalme wa POP duniani aliwahi kuja Bongoland na kuishia kuziba pua airport na kugeuza......
Kumbe zilikuwa fix tu za mababu zetu uchwara!
Ukweli ni kwamba Hayati Michael Jackson The Wacko Jackal hakuishia airport wala nini.....alifanya ziara kamili na kutimba hadi jengo tukufu pale Magogoni na kupiga stori na Mzee Ali Hassan Msingi
Nimegundua zile zilikuwa ni fix za town......wabongo wana degree za fix dunia nzima tunaongoza View attachment 382779
**********************************
Unaumwa mimi jirani yako sijuiNaumwa...
Humu humuDuh! Mbaya sana.. Ni yule jirani ama mtu wa humu?
Hivi Ankali mahari si bado haijatumwa????Sawa sawa kabisa
Kijana wa kumi kubwa, niadje?
Fix za townDah hivi kumbe tulimezeshwa tango pori
Na alikaa kilimanjaro hotelFIX ZA BITOZ:
Tukiwa mdogo tuliaminishwa kwa kupigiwa fix eti yule mfalme wa POP duniani aliwahi kuja Bongoland na kuishia kuziba pua airport na kugeuza......
Kumbe zilikuwa fix tu za mababu zetu uchwara!
Ukweli ni kwamba Hayati Michael Jackson The Wacko Jackal hakuishia airport wala nini.....alifanya ziara kamili na kutimba hadi jengo tukufu pale Magogoni na kupiga stori na Mzee Ali Hassan Msingi
Nimegundua zile zilikuwa ni fix za town......wabongo wana degree za fix dunia nzima tunaongoza View attachment 382779
**********************************
Khaaa, appreciated sana!