Duh! Huyu jamaa wa wap asee.. Abudhabi moja nini?Number 2, Vanisha Mittal na Amit Bhatia – usd 60 Million View attachment 382254mwaka 2004, wageni waalikwa kwanza walipewa kadi kwenye box ya silver(pure silver), waliwekwa kwenyw hoteli ya nyota tano na wali kaa kwa siku 5 kwani harusi hii ilichukua siku sita, na pia badala ya wao kuwapa zawadi maharusi, wao waalikwa ndio walipewa zawadi kila mtu kidani(jewl) cha thamani alicho kitaka na cha aina yyte
Harusi ilifanyika chateau, Palace of Versailles, wageni walikuwa 1000 na walilipiwa nauli za ndege kutoka popte walipo mpaka ufaransa, mwana muziki Kyle Mingue alikodiwa kwa siku zote sita na alitumbuiza kwa kila tukio, pia mnara wa eiffel (eiffel tower) ulikodiwa kutoka kwa serikali ya jiji ka Paris kwa ajili ya upigaji wa mafataki, wataalam wana sema gharama zina weza kuwa zili zidi sana tuu
Jamani jamani Mungu tuone sisi wanyonge...hizi ni kufuru sasa...[emoji24] [emoji30] [emoji30]Number 2, Vanisha Mittal na Amit Bhatia – usd 60 Million View attachment 382254mwaka 2004, wageni waalikwa kwanza walipewa kadi kwenye box ya silver(pure silver), waliwekwa kwenyw hoteli ya nyota tano na wali kaa kwa siku 5 kwani harusi hii ilichukua siku sita, na pia badala ya wao kuwapa zawadi maharusi, wao waalikwa ndio walipewa zawadi kila mtu kidani(jewl) cha thamani alicho kitaka na cha aina yyte
Harusi ilifanyika chateau, Palace of Versailles, wageni walikuwa 1000 na walilipiwa nauli za ndege kutoka popte walipo mpaka ufaransa, mwana muziki Kyle Mingue alikodiwa kwa siku zote sita na alitumbuiza kwa kila tukio, pia mnara wa eiffel (eiffel tower) ulikodiwa kutoka kwa serikali ya jiji ka Paris kwa ajili ya upigaji wa mafataki, wataalam wana sema gharama zina weza kuwa zili zidi sana tuu
Hi Kiwatengu!Hello
Mimba inakua eee[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nipo bebiake patience..
Cc werrasonAje Tufanye kweli...[emoji85] [emoji85] , maana wii ashakuja tena.
Duh! Watu wame enjoy duniani..Number 2, Vanisha Mittal na Amit Bhatia – usd 60 Million View attachment 382254mwaka 2004, wageni waalikwa kwanza walipewa kadi kwenye box ya silver(pure silver), waliwekwa kwenyw hoteli ya nyota tano na wali kaa kwa siku 5 kwani harusi hii ilichukua siku sita, na pia badala ya wao kuwapa zawadi maharusi, wao waalikwa ndio walipewa zawadi kila mtu kidani(jewl) cha thamani alicho kitaka na cha aina yyte
Harusi ilifanyika chateau, Palace of Versailles, wageni walikuwa 1000 na walilipiwa nauli za ndege kutoka popte walipo mpaka ufaransa, mwana muziki Kyle Mingue alikodiwa kwa siku zote sita na alitumbuiza kwa kila tukio, pia mnara wa eiffel (eiffel tower) ulikodiwa kutoka kwa serikali ya jiji ka Paris kwa ajili ya upigaji wa mafataki, wataalam wana sema gharama zina weza kuwa zili zidi sana tuu
Wakati sie huku bongo mtu anaoa/anaolewa bajeti ya watu 200 povu hatari kwamba gharama. [emoji23] [emoji23]Number 1, Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan and Princess Salama – $100 Million View attachment 382256
Jamani hawa mi siwajui hawa vzuri nadhan ni watu wa brunei
Lakini wana dai karibu kila kifaa kilicho tumika kwenye harusi hiyo kilikuwa ni cha dhahabu.na walialikwa takruban watu 20,000 na kwenye chakula cha usku katika kasri ya mflme walikuwepo takriban watu 3,500
Una ijua hela ya kununulia chakuka cha watu 23,500 wewee!!! Hahaha hao ndio waarabu
Usijari, hata hivyo umezileta vizuri bila matata kabisaNawataka radhi kwa kukatisha ghafla kumi kubwa kwa leo kwani nilipatwa na shida kidogo
Usijari kakaNawataka radhi kwa kukatisha ghafla kumi kubwa kwa leo kwani nilipatwa na shida kidogo
Na ulivyo mrembo, kila nikuonapo roho yangu inaruka ka chura mpenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mimi ndiye huwa naufanya moyo wake uende mbioo..
Wengine sie wasindikizaji.Duh! Watu wame enjoy duniani..
Kwa hawa watu haishangazi, hela kwao sio tatizo... 'Tatizo ni hela' [emoji4][emoji4]Number 1, Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan and Princess Salama – $100 Million View attachment 382256
Jamani hawa mi siwajui hawa vzuri nadhan ni watu wa brunei
Lakini wana dai karibu kila kifaa kilicho tumika kwenye harusi hiyo kilikuwa ni cha dhahabu.na walialikwa takruban watu 20,000 na kwenye chakula cha usku katika kasri ya mflme walikuwepo takriban watu 3,500
Una ijua hela ya kununulia chakuka cha watu 23,500 wewee!!! Hahaha hao ndio waarabu
Alafu wewe[emoji8]Wii huyu lazma nimsemee kwa mama mie nakutambua wewe tu...ukiona mabadiliko yoyote uniambie...[emoji85] [emoji23] [emoji23]
Ee bebi.. Ukiniona sasa kidume utafurahia...Mimba inakua eee[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tupiamo kapicha waone nnavyofaidi bathiii[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Thanks my wii.. Pumbao la moyo wangu