Makapuku Forum

Kuanzia weekend hii (jumamosi na jumapili) Sweetiepie atakuja na kitu... Sasa ili kujua atakuja na nini na itakuwa muda gani basi usiondoke endelea kuwepo hapa hapa KF ili uweze kujua ametuandalia nini
Nawatakia week end njema na muwe na amani na upendo
Msilewe sana
 
Leo Katika Historia:

1926 - Fidel Castro anazaliwa.

Ni kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Cuba ya mwaka 1959 pamoja na makomredi wengine kama vile Ernesto Che Guevara, Raul Castro na Camilo Cienfuegos.

Anachukuliwa kama baba wa taifa la Cuba, kwa uongozi wake uliotukuka na shupavu katika Taifa hilo.
 
Leo katika Historia:

1963 - Valerie Plame anazaliwa.

Ni jasusi wa zamani wa Shirika la Ujasusi Marekani ( C.I.A ) aliyehudumu wadhifa huo kwa miaka 21 mpaka pale alipoandika barua ya kujiuzulu baada ya kugundulika hadharani kwa kitambulisho chake cha C.I.A
 

Sisi tuna Makufuli
...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…