Nna mpango wa kuanzisha makapuku fm
Jimena utatufaa kwenye kusoma magazet na taarifa ya habari
Mussolini5 kaka wewe vipindi vya leo ktk historia itakuhusu
Golikipa wa arsenal utakuwa unatuletea mambo 10 tusiyoyajua
Jonax mzee wa simulizi
Bitoz vipind vya fix
Werrason ba mutu ba kongo, ndyo vile utatuleteaga na uchambuzi wa muziki ya kongo
Mie bosi mkurugenz kitambi meneja ntakuwepo kwa uchambuzi yakinifu wa soka
Wengine ntawapangia majukumu kadri muda unavyokwenda, najarbu tambua uwezo wenu..