Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ndio maana yakeTumebakisha post 50 tuikute
Ndio maana yakeTumebakisha post 50 tuikute
KabisaHuu mchezo hauitaji hasira.
Watu tulijipanga kuwafunga midomo wazee wa nyodo. Kina igweeee,Kichumvi nkWanaona kama ni ndoto tu
Ngoja tuanze kushambulia kwa mvua za rasharasha.Atapitwa kama amesimama
Korea siendiHaaa tutaenda wote my lady usjal
HahahaMungu yupi?? Kama ni yule anaedaiwa kumiliki vyote ila anamshindwa shetani hayupo
Watata sana Hao Jamaa, wao kuua ni kitu cha kawaida sanaHapo ni mkoa wa mashujaakama wenyewe wanavyouita. Japo wakija town wanaishia kuuza mayai.
Imani mbovu tu ila hakuna ukweli wowoteKuchuna ngozi
Kuua ma albino
Limbwata
Mauaji ya kichawi
Ajali zczo na vichwa wala miguu
Mambo yapo hayooo heheheh
Mi nahisi kuna kikudwi kimeniwekea limbwata haiwezekani bishoo nikapendeKuchuna ngozi
Kuua ma albino
Limbwata
Mauaji ya kichawi
Ajali zczo na vichwa wala miguu
Mambo yapo hayooo heheheh
Imani zao fupiUshahidi upo JF post za uchawi wapambe kibao km sisimizi kwenye masizi
![]()
![]()
![]()
.......
Yeye mwenyewe aliota ndoto mpaka akaomba ushauriWe mwache aji pretend haupo
![]()
![]()
![]()
Sku aki uona ata sanda
Hatari sana. Sio watu wa mchezo.Watata sana Hao Jamaa, wao kuua ni kitu cha kawaida sana
Nenda kanda ya ziwa.Imani mbovu tu ila hakuna ukweli wowote
Mtu autest kwangu ili nithibitisheWe mwache aji pretend haupo
![]()
![]()
![]()
Sku aki uona ata sanda
Kikudwu ndo kinn!!?Mi nahisi kuna kikudwi kimeniwekea limbwata haiwezekani bishoo nikapende
![]()
![]()
![]()
.......
