Makapuku Forum

Hahaha
Namkubali sana
Anarekodi ya kubishana na kila mwana jf (sikosekani humo)
Kuna kuna uvumilivu ulinishinda nikamchana kwa maneno yangu ya shombo za kambale wa Mabibo kwenye uzi culani hadi akatoka ndukj......siku hizi ananiogopa km Vingongo wenzake kina Ever Kichumvi na Ngedere Ungabure
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
. ... ...........
 
Hahahaha
Sasa hizo aka tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hakukwambia ulienda somea ujinga!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…