lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Mimi napenda ajue kila kituSio lazima ajue kila kitu chako bana vingine unampotezea tu
Mimi napenda ajue kila kituSio lazima ajue kila kitu chako bana vingine unampotezea tu
#Pogback
Ndio vizuri mwayaMimi napenda ajue kila kitu
Sio 4g bali ni 10g tena ya HalotelKwa speed kubwa
Acha maneno yako bhana.We sasa unayataka.... Hao wote wanaokushawishi Avatar zao zinaendana na jinsia zao
Kila kitu sasa ni Dodoma.Kazi ipo
hahahah...huwezi jua.Labda awe kikojozi
NdioNdio vizuri mwaya
Tunamweka LissuMtaenda kumuweka Diamond au??
Namuona kocha wake Takuma.
Ule mji wanaulazimisha tu, hakuna maandalizi yoyoteKila kitu sasa ni Dodoma.
Hahaha Lissu atatokelezea pale kuliko lile bisminiTunamweka Lissu