Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Mambo ya siasa za ubaguzi.Watu wabaya sana, yani walimfunga bila makosa mzee wa watu
na kipindupinduView attachment 376257View attachment 376258View attachment 376259
Sisi tunakufa kwa utapiamlo
..........
Leo katika Historia:
1980 - Wayne Bridge anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Man City.
Terry nae mjanja mjanja sana!View attachment 376273View attachment 376274View attachment 376275
Alichapiwa kidemu chake na Terry
..........
Happy Birthday GillLeo katika Historia:
1957 - David Gill anazaliwa.
Ni mtendaji mkuu wa zamani wa Man Utd pia kwa sasa ni balozi wa timu hiyo ya Man Utd.
Yanahamia hapa kwetuMambo ya siasa za ubaguzi.
Leo katika Historia:
1985 - Salomon Kalou anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast.
+maleriana kipindupindu
hahaha..dah kweli+maleria
Jamaa uchwara anatupoteza.Yanahamia hapa kwetu
Anatupoteza sanaJamaa uchwara anatupoteza.
Namkubali sana huyu mamaLeo katika Historia:
1962 - Marilyn Monroe anafariki.
Ni mwigizaji na mwanamitindo mashuhuri wa miaka ya 1950's huko Marekani. Alikuwa ni mrembo aliyesifika miaka hiyo.
Kifo chake kinabaki kuwa miongoni mwa vifo tata kuwahi kutokea nchini Marekani.
Inaaminika aliuwawa kwa kuwa alitembea na Rais John F. Kennedy pamoja na Kaka yake Robert Kennedy hivyo alipotaka kutoa siri hyo wakamnyamazisha.
Leo katika Historia:
1989 - Ryan Betrand anazaliwa.
Ni beki wa kushoto wa Southampton na timu ya taifa ya England.
Alisumbua sana.Namkubali sana huyu mama
Leo katika Historia:
1962 - Marilyn Monroe anafariki.
Ni mwigizaji na mwanamitindo mashuhuri wa miaka ya 1950's huko Marekani. Alikuwa ni mrembo aliyesifika miaka hiyo.
Kifo chake kinabaki kuwa miongoni mwa vifo tata kuwahi kutokea nchini Marekani.
Inaaminika aliuwawa kwa kuwa alitembea na Rais John F. Kennedy pamoja na Kaka yake Robert Kennedy hivyo alipotaka kutoa siri hyo wakamnyamazisha.
Leo katika Historia:
Ni siku ya uvaaji wa nguo za ndani nchini Marekani.
Leo katika Historia:
Ni siku ya uvaaji wa nguo za ndani nchini Marekani.
Mwisho wakavuruga kambi England na JT kupokwa unahodhaTerry nae mjanja mjanja sana!