Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo katika Hisroria:
1914 - Mataa ya umeme ya kuongozea magari yafungwa rasmi huko Cleveland.
Bongo yamefika sijui mwaka ganiLeo katika Hisroria:
1914 - Mataa ya umeme ya kuongozea magari yafungwa rasmi huko Cleveland.
Watu wabaya sana, yani walimfunga bila makosa mzee wa watuLeo katika Historia:
1962 - Nelson Mandela anakamatwa na kufungwa jela ambapo anakuja kutoka mwaka 1990.
Leo katika Historia:
1949 - Kunatokea tetemeko kubwa la ardhi huko huko Ecuador na kuharibu miji 50 na kuua zaidi ya watu 6000.
Leo katika Historia:
1960 - Burkina Faso yapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Leo katika Historia:
1962 - Nelson Mandela anakamatwa na kufungwa jela ambapo anakuja kutoka mwaka 1990.
Leo katika Historia:
1930 - Michal Kovac anazaliwa.
Ni Rais wa kwanza wa Slovakia.
Leo katika Historia:
1957 - David Gill anazaliwa.
Ni mtendaji mkuu wa zamani wa Man Utd pia kwa sasa ni balozi wa timu hiyo ya Man Utd.
Duuh sijui mwaka 1997Bongo yamefika sijui mwaka gani