Makapuku Forum

Dah..... Angalau kapukuz wamepata ilm [emoji4]
 
Number 10 John Tyler -siku 1,430 alikaa kwenye ofisi ya rais mnamo April 4, 1841 – March 4, 1845
Huyu yeye ali shika urais baada ya William Harrison kufarik dunia yeye akiwa kama makamu wa rais ilibid amalizie term ilo baki
Ulipo fika uchaguzi wa awali jina lake lili katwa na chama chake cha Whig asigombee urais tena na vyama vingine vilitaka ahamie kwao lakin watu walimshawish apumzike tuu
Huyu bhana watu wengi wali mdharau na hawakuona kama ana stail urais na walimwita kaimu rais kwa kipindi chote
Wapinzani wake wengi wali mwita rais wa ajali tuu
Hvi maisha yake ya kisiasa yakaishia hapo
 
Number 9, Andrew Johnson- siku 1,419 alikaa ofusin kama rais mnamo April 15, 1865 – March 4, 1869
Alikuwa makamu wa Rais Lincoln na alimalizia kipind kilicho baki cha Lincoln baada ya mwwenye Linc kuuwawa naye mnamo mwaka1868 alijaribu kugombea kwenye chama chake cha democrat waka mkata na ndoto zake kuishia hapo
Yeye ki uhalisia haukwa na msimamo wa chama kimoja na hata alipo ulizwa mwaka 1868 kwanini haja jiunga na democrat na bado ana taka wampitishe akasema
"Wao ndiyo wana takiwa wajiunge na mimi si mimi nijiunge nao"
 
 
Number 8, Chester A Arthur-siku 1,262 alikaa ofisini mnamo September 19, 1881 – March 4, 1885
Alitumikia kipindi kilicho baki cha rais Garfield, kwa kuwa alikuwa makamu wake wa rais
Naye alipo gombea kuwa nominee wa chama walimkata bila huruma
Huyu ndo aliye sain sheria ya uhiaji ya USA ambayo ilizuia uhamiaji wa , watuhiwa wa makosa ya jinai na wagonjwa wa akili
Pia alisain sheria iliyo zuia wachina kuhamia marekani kwa kipindi cha miaka kumi
 
 
 
Number7, John F Kennedy -siku1,036 alikaa ofisin mnamo January 20, 1961 – November 22, 1963
Aliuwa akiwa kwenye ziara ya kikazi huko Texas, huyu ni one of the most celebrated preaidents huko US tuna kumbuka msemo wake wa siku aliyo apishwa unao sema
"Usiulize nchi yako imekufanyia nini bali jiulize umeifanyia nn nchi yako" msemo ambao kila kiongozi huutumia ku defend uzembe wake
Aliishi maisha yake muda mwingi akiwa mgonjwa na alifariki mapema pia
 
Jinga kweli
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…