Makapuku Forum

Chura ni nyie sio simba
Sisi tunaishi katikati ya mji chura atoke wapi
Km ngie wamjini kwanini mmekula rambirambi ya Mafisango(RIP)

Mi nahisi hiyo ni 7bu ya nuksi zinazowaandama coz jamaa aliipigania sana timu yenu hadi wanajangwani tuna kumbuka Papaa moja kati ya viungo bora kuwahi kucheza VPL
.........
 
Nani kakwambia walikula team haina pesa za kusajili wachezaji wa maana ndio maana haifiki kutwaa ubingwa
Hayo mengine ni maneno ya mtaani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…