Leo katika Historia:
1981 - Televisheni ya MTV yaanza rasmi kurusha matangazo yake huko Uingereza.
Leo katika Historia:
1924 - Mfalme Abdulla wa Saudi Arabia anazaliwa.
Leo katika Historia:
1970 - David James anazaliwa.
Ni golikipawa zamani wa England.
Tulikuwepoahaa makapuku mpo
View attachment 374266Leo katika Historia:
1976 - Nwanko Kanu anazaliwa.
Nyota wa zamani wa mpira wa miguu toka nchini Nigeria aliwahi kutamba na timu za Ajax, Arsenal na Portsmouth.
Enzi zake alitisha sana tena sana
Leo katika Historia.
1976 - Hasan Sas anazaliwa.
Nyota wa zamani wa moira wa miguu toka Uturuki.
Leo katika Historia:
1978 - Junior Agogo anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Ghana.
Leo katika Historia:
1984 - Bastian Schweinsteiger anazaliwa.
Ni kepteni wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani na pia anacheza katika klabu ya Man United.
Katika ubora wake alisifika zaidi kama Box to Box Midfielder yaani alikuwa na uwezo wa kukaba timu inaposhambuliwa na kushambulia pindi timu inaposhambulia.
Siku zake ndani ya klabu ya Man Utd zinahesabika.
United State of WapurupukajiShida sana aisee
Wanasema kila zama na watu wakeEnzi zake alitisha sana tena sana
Walipunguza umri wakashinda OlympicEnzi zake alitisha sana tena sana
Picha ya mwisho mbona katakata? Au nae ni team Ray?View attachment 374272View attachment 374273View attachment 374274
Lilitambia mabavu km Mwaikimba
..........
Leo katika Historia:
Ni siku ya Jeshi la Watu wa China.