Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 374047

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1469983901757.jpg

Mbowe Angeweka hiki kibao ili kumchanganya huyo Mapombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
 
Tusubiri ndani ya miaka mi3 tupne km nchi imenyooka au ndo anaharibu
Mabadiliko yanaonekana huku mitaani biashara ngumu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
................
Mi nampa mwaka mmoja - 2 years kama trickle effects za juhudi zake zitakuwa bado angalau hazijaanza kuwafikia watu wa chini positively basi nitaanza kuwa na wasiwasi. Maisha ni lazima yawe magumu kwa sasa kwa sababu hela za kuchezea hakuna ngosha kaziba mianya yote. Mafisadi mpaka vitambi vimepungua suruali zinapwaya...
 
Back
Top Bottom