Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Prezdaa Bitoz, naomba nitoe rai kabisa... akija kapuku mpya(KE) atakua baby wangu nimeona niweke order kabisa nisije nikaibiwa buree

Prezdaa Bitoz, naomba nitoe rai kabisa... akija kapuku mpya(KE) atakua baby wangu nimeona niweke order kabisa nisije nikaibiwa buree

Bora nilikuwa mapema baby
Hahahhaa huyo si kikongwe??Kukudokeza tu anae kuja ni bi faiza.. Upo tayari
Kwisha habari yaoHawatoki
HETuanze naww... She or he
Hakuna namnaWapigwe tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Team popoMapopo katika ubora wetu![]()
![]()
![]()
![]()
Bora ulijawahia mapema, ukaninyakua mpenzBora nilikuwa mapema baby
Hahahahahaha wifi nimekupenda zaidi...... Sio kwa kumjali hukomimi kama kapuku mwenzio najitolea kukutunukia mche mzima wa sabuni ya jamaa! uzuri waKe haiishii mapema na ina povu jingi sana!

Baby, I love youBora ulijawahia mapema, ukaninyakua mpenz
Mkuu ungeamka asubuhi mapema... Wenzako waliwahi hapa ndo mana wamejiopolea mapemaaaaNahisi kua na roho mbaya niloge mtu hapa,baridi+mvua alafu Nahrene na youngblood mnanirusha roho hapa
I love you too hubbyBaby, I love you
Mapenzi hayana machoHahahhaa huyo si kikongwe??
Naona mnapitisha sensa