Makapuku Forum

.haipingiki mpira haukuvuka mstari
Nao wakalipizwa kwa goli la Frank Lampard kukataliwa world cup sijui 2010
............
 

Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini,
Usisahau kuwa magazeti haya yalikujia kwa hisani ya timu ya Taifa ya England na ubingwa wao wa pekee walioupata miaka 50 iliyopita[emoji3]
Niite Jimena Jimenes tukutane tena kesho na muwe na week end njema zaidi
 
Alitamba sana mwingine ni David Ginola hao ni km Mungu pale White Hart Lane
..............
Yap.

Ulishawahi kusiki Mkasa wa Ginola kwenye timu yake ya Taifa.

Ilikuwa ni mechi ya mwisho ya kufuzu Kuelekea world cup ya 1994 pale Marekani, Ufaransa aliihitaji droo tu afuzu, mpira ukielekea ukingoni Ginola akampasia adui wakaenda kufungwa na Ufaransa ikashindwa kufuzu.

Kocha wa wakati huo wa Ufaransa Gerald Houlier alimsakama sana Ginola hali iliyopelekea Ginola kukimbia nchini Ufaransa. Alipozidi kumsakama jamaa alienda mahakamani.
 

Hii ndo mechi aliyofungisha
Ilikuwa dhidi ya Bulgaria km sikosei......ndo ikawa mechi yake ya mwisho kuchezea Ufaransa
Ana bahati sana wange muESCOBAR
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…