Makapuku Forum

Leo katoka Historia:

1964 - Jurgen Klinsman anazaliwa.

Ni kocha wa zamani wa Ujerumani aliyeifikisha timu hiyo kwenye nafasi ya mshindi wa tatu kwenye michuano ya Kombe la Dunia lilifanyika kwao Ujerumani mwaka 2006.

Kwa sasa ni kocja wa timu ya taifa ya Marekani
 

Tujiepushe na Polifix zitatuponza hapa JF pia ndo Jukwaa la BANBAN
................
 

Alitamba EPL
...................
 
View attachment 373223View attachment 373224View attachment 373225
Hawachukui tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.................
hahaha...fainali yenyewe waliyomfunga Ujerumani iligubikwa na utata mkubwa sana!

Inabaki kuwa moja kati ya mechi tata katika Historia ya Kombe la Dunia kwani magoli mawili waliyofunga yalikuwa na utata, moja halikuvuka mstari na la pili lilifungwa wakati baadhi ya mashabiki walikuwa ndani ya uwanja.

Hivyo basi hiyo laana imeendelea kuwatafuna haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…