Makapuku Forum

Number 8, Eagles – 130+ Million Despite what Aerosmith might claim, according to the official numbers the Eagles are the biggest-selling American band of all time, with an estimated total of over 150 million records worldwide, which seems to be realistic if one takes into account that their certified album sales are over 130 million with a little more than 100 million of those in the US alone. Their Greatest Hits (1971–1975) shares the top spot with Michael Jackson’s Thriller as the best-selling album ever in the US with 29 million copies sold and is one of the highest-selling albums globally with 45 million copies sold worldwide.
 
 
Hata mi namkubali sana mwanamama huyu
 
 
Number 5, Elton John – 162 Million mzee wa sacrifice,mzee wa nyimbo kali za mapenzi na za taratibu huyu ni msanii solo ambaye kauza zaid uingereza ni mtengenezaji wa kazi ya sanaa ilo uza zaid uingereza akishka namba mbili nyuma ya the beatles
Mnamo mwaka 1997 wimbo wake wa “Candle in the Wind,” uliuxa nakala 33 milioni ni singo pekee kuuza zaid duniani
Lakin pia huyu ana yale mambo ya kina james delicious au kaoge wa zamaradi kwa hiyo mimi huwa na pretend kama ha exist duniani na leo na pretend kama nme toa top 9
 
Number 4, Madonna – 166 Million yuko kwenye kitabu cha rekodi za dunia kwa kuwa msanii wa kije aliye uza nakala nyingi zaid duniani na pia yeye ana dai kauza nakala zaid ta milioni 200 lakin vyeti vya masoko vinaonesha kuwa ana pungua kidoogoo kwenye nakala 170 milioni
 
 
Number 3, Michael Jackson – 175 Million king of Pop , the best that ever was, kwangu ni msanii bora wa muda woote na hakuna atakaye kuja kufanya nibadili admiration yangu kwake
Japo familia yake na washabiki wake wana sema aliuza zaid ya nakala milioni 400-750 wataalam wana sema hapo wamezidisha
Huyu ni msanii aliye toa album bora kuliko zote dunian katika mauzo (Thriller), video ya music iliyo uzwa sana kwa muda wote, na pia ni mwana muziki akiye pata tuzo nyingi kuliko woote walio pata kuwapo.
Michael kwangu ni zaid ya msanii
RIP Michael[emoji24]
 
Number 2, Elvis Presley – 210 Milion uyu simply ana itwa "The King" huyu bdiye msanii wa kwanza kabsa kuuza nakala zaid ya milion 200 zilizo thibtshwa na hapo uthibitsho ulianza mwaka 1958 ukiacha album nyingi tuu ambazo aliuza sana
Huyu ndiye msanii anaye ongoza kwa kupata tuzo nyingi za album bora kuliko wasanii wote dunian
 
Na jimena je?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
 
Number 1, The Beatles – 265 Million una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz

Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…