Makapuku Forum

Makapuku Forum

Amber Heard
View attachment 372582 muigizaji wa ki marekan amekuwa hakosi jwenye makala mbali mbali znazo orodhesha wana wake wazuri. Alianza kujulikana mwaka 2007 kwenye show ya tv ya Hidden Palms. Lakin alijulikana zaid kwenye movie ya Never Back Down na Pineapple Express mnamo mwaka 2008. Pia juz juz ali igiza filam ya 3 Days to Kill, Magic Mike XXL na Danish Girl. Pia ameolewa na muigizaji Johny Depp
1469732878670.jpg
1469732898252.jpg
1469732929410.jpg
 
Deepika Padukone
View attachment 372589nawaletea kama alvo andikwa

She looks beautiful always. She’s cited by her figure, height, smile, and eyes as her distinctive physical features, which always makes her stand out of all the beauty queens of Bollywood and Hollywood too.
Deepika Padukone is busy shooting for Hollywood movie “xXx- The Return Of Xander Cage” in which she plays the lead female role opposite Vin Diesel. She is an active celebrity endorser for several brands and products, including Tissot, Sony Cyber-shot, Nescafe, Vogue eyewear, Maybelline and Pepsi, among others.
1469733560954.jpg
1469733566458.jpg
1469733570774.jpg
 
FIX ZA BITOZ VII:
Nakumbuka enzi hizo nikiwa dogo huku Mabibo Beach tulikuwa na mchezo wa kuchanganya thumni na shilingi mia muda wa usiku ili tukamuibie vitumbua mama K
Sasa bhana za mwizi ni 40 siku zote Mama K butumia Kibatari ila siku hiyo tunaenda kumbe alikuwa na tochi ....sasa msela nikampa sumni zen akaniambia Bitoz leo nakupa na nyongeza sasa wkt najiuliza si nikashtuka navutwa kipensi changu duh kumbe hela aliimulika na tochi
Kilichofuata ni kula mbata hadi home nako dingi akanipa makonzi ya kufa mtu na shule sikwenda week nzima kwa aibu coz niliitwa Bitoz mwizi wa vitumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1469736387604.jpg

Duh nilikoma na kuacha wizi kabisa
..............
 
FIX ZA BITOZ VII:
Nakumbuka enzi hizo nikiwa dogo huku Mabibo Beach tulikuwa na mchezo wa kuchanganya thumni na shilingi mia muda wa usiku ili tukamuibie vitumbua mama K
Sasa bhana za mwizi ni 40 siku zote Mama K butumia Kibatari ila siku hiyo tunaenda kumbe alikuwa na tochi ....sasa msela nikampa sumni zen akaniambia Bitoz leo nakupa na nyongeza sasa wkt najiuliza si nikashtuka navutwa kipensi changu duh kumbe hela aliimulika na tochi
Kilichofuata ni kula mbata hadi home nako dingi akanipa makonzi ya kufa mtu na shule sikwenda week nzima kwa aibu coz niliitwa Bitoz mwizi wa vitumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 372654
Duh nilikoma na kuacha wizi kabisa
..............
Hahaa.. Nishatenda sana huu ujinga..
 
Back
Top Bottom