Watoto wa siku hizi na maswali.Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo !
Hahahaaa.... Nadhani hata kama angevaa dera ila bado titi lingeonekana tu.Bora angevaa dera tu
Nahisi huyu jamaa alikuwa nyumba ndogo hahahaaaa....View attachment 371942
Kunguru wa Uswaz...wezi wa mavazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
Wameishapoteana wanalazimisha tu kwa kuitana majina na kuigaHahahaaa hakika makapuku forum tunawakimbiza wakongwe ile mbaya
Si katika pitapita zangu humu jf nikakutana na uzi unaitwa wakongwe forum naona wanataka kujibu mapigo hawatuwezi kabisa hahahaaaa tumewashika pabaya
Labda kunguru katumwaNahisi huyu jamaa alikuwa nyumba ndogo hahahaaaa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kunguru katumwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
..............
YaaaaniTiti limekizidi kichwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
Poa sana sijui weweHahaha..kawaida mkuu..vipi lakini?
Jamaa mpenda nyama
Mmh..hapa mtu akipanda juu ya bati si anakuchukua video kabisa..
Mie mzima kabisa mkuu..Poa sana sijui wewe
Huyu kunguruView attachment 371942
Kunguru wa Uswaz...wezi wa mavazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................