Makapuku Forum

Mh!!! ....[emoji87]
 
Ebanaeeh! Hapo unajiua mwenyewe!
 
FIX ZA BITOZ VI:
wakati nasoma Sekondari shule fulani ya walalahoi huku Joto City tulikuwa na kautaratibu ketu cha kwenda beach kila jumamosi na vishikwambi vyetu kutokoto baada ya kufagia na kudeki class....
Sasa bhana kuna Kishkwambi kikali kilikuwa kinaitwa Mwajuma ndo kimehamia skuli kwetu na mimi km bishoo natembea na watoto wakali tu....basi nikakapania kukaimbisha hiyo jumamosi si kakakubali babake nikaongozana nako hadi beach pamoja na masela na vishikwambi vyao
Sasa tukiwa beach Bitoz sijui kuogelea halafu nina mbwembwe nikaenda kwenye kina kirefu si nikazama bahati nzuri Mwajuma akaniokoa lakini cha moto nilikiona maana nilikunywa vikombe hadi nikatoa macho kumzidi chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilichekwa sana na masela lakini mapenzi yetu na Mwajuma yaliendelea hadi shule tukawa mastaa zen mtihani wa NECTA tukaambulia madivision 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitasahau kisanga cha kuponea tundu la sindano kufa beach hadi leo ukitaka utafiki wetu ufe nipeleke beach niambie tukaogelee
.....................
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmh hapo hata Hilter atasubiri kwakweli
 
Bora sisi tumezaliwa siku hizi maana mhhh ilikuwa hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…