Makapuku Forum

Mh!!! Kuna watu wana roho mbaya!!! Mtu wa kurost!!!
 
Kimalkia nacho[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 

Picha mbaya sana.....naheshimu maadili
...........
 
Coffin Torture
Hii ilikuwa ndo wana ipenda zaid watu wa zama za giza aka medieval period walikuwa wana kuchukua wana kuweka kwemye kisanduku ambacho kina kufiti wana kutundika kwenye mti au juu ya paa then wana kuacha hapo ambapo kunguru au mweweau ndege wa aina yyte ata kutafuna ukiwa hai au ukiwa umekufa kwa njaa hii ilikuwa hataree
 
 
Thumbscrew

Hii nayo medieval period wali ilitumiwa sana kwaa jili ya kumfanya mtu a confess hii hawakulenga kuua mtu
the thumbscrew au ‘pilliwinks’ ilitumika kukata vidole na mguu wa chini lakin zilikuwepo kubwa kabsa hizo zlikuwa zina saga miguu yote au mikono yotee

Sasa ilikuwa kama husemi kitu au hu confess wana chukua mashine kubwa kabisa hiyo ina sigina au ina saga kichwa chootee
 
Walikuwa na roho mbaya saana, bila huruma
 
Rope Torture

Hii ilitumika jwa namna mbali mbali kama vile

Kunyonga mtu
Kumtegua mikoni au miguu
Kumuachanisha mtu vipande vipande kwa kuamua kuwafinga farasi na kuwaamuru wakimbie

Na namna mbali mbali ila jua kamba matumiz ni mengi hata sku hizi wahehe tuna zitumia sana hizo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…