Makapuku Forum

Duh watu wanarekodi za matukio mabaya kuliko hata Hitler
 
Impalement
hii ilitumiwa na Vlad the Impaler. Karne ya 15 huko Romania; watu wali kuwa wana kamatwa halafu wana ambiwa wakalie miti ilo chongwa kwa juu na hiyo huwachoma, hii huchukua mpaka siku tatu kwa muhanga kufa na bwana vlad aliwahi kuwa ua watu zaid ya 20,000 kwa siku moja huku mwenye akipga luch kama anavo onekana kwenye picha
 
 
Heretics Fork

Kama muonavyo kwa picha hapo mtu aliwekewa hiyo kitu kama uma pande zote na hii na alifungiwa shingoni na alifungwa juu ya mti mfupi au tuu alisima mishwa sehem, ilikuwa ni njia ya mateso kwani haikutakiwa mtu asinzie na siku ambayo alichoka na kuiachia shingo lazima atoboke koo na kidevu na kufa
 
 
 
 
```Jamaa mmoja alilala na dem kwenye kitanda cha double-deka dem akalala juu jamaa chini.
Ulipofika ucku jamaa akaanza kupanda juu mara ghafla dem akashtuka jamaa kashamaliza kupanda dem akamuuliza wewe umefata nini uku juu.
Jamaa akamjibu eti NIMEDONDOKA.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] funny [emoji124][emoji124][emoji124]
 
The Judas Cradle

Kwanza ilikuwa lazima mtu awe uchi kabisa ili kumuongezea aibu halafu alifungwa kamba mikono na miguu alafu alikaliwsha kwenye hiyo pembe tatu na kamva zililegezwa zaid na zaid ili kufanya "anus" yake izidi kuzamishwa na kumuumiza na kwa kuwa walikuwa hawa paoshi watu wengi hawakufa kwa maumivu bali kwa vacteria mbali mbali walo kuwa hapo hii pia ilichukua siku kadhaa mtu kukata roho
 
Huu sasa ni ugaidi
 

Hii naomba ni i quote ki inglish

"Usually filled with molten lead, tar, boiling water or boiling oil, it was used to torture victims by dripping the contents onto their stomach or other body parts like the eyes. Using this device the torturer would proceed to pour molten silver on the victim’s eyes which resulted in agonizing pain and eventual death".
 
Hii dunia ni zaidi ya tunavyoijua
 
Kudadadadadek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…