Makapuku Forum

Aaah!!! Wakimataifa tupeni Laha tupeni Laha[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hi
Baada ya mapumziko yangu ya mda mfupi leo naleta

Most Brutal Torture Techniques Ever Devised in History, nadhani mtaalamu yeyote wa ki inglish ata nisaidia ku tafasir hyo
 
The Tub

Hii ilikuwa wana mchukua mtuhumiwa /mateka/ mtu yeyote alo kosa au kuvunja sheria
Wala muweka kwnye hiyo kitu ambayo ilichongwa kwa mbao tuu na kubakiza kichwa chake tuu ambapo wali mpaka usoni maziwa na asali pia walimlisha kila siku, hivo nzi wali mlamba uso wake na sukari na maziwa vlivo zidi kuganda vili mfanya mtu huyo aoze akiwa mzima

Then kwakuwa hakuwa akienda chooni bacteria na wadudu walo tokana na kinyesi chake walikuwa wakimshambulia pia kwa upande wa chini alioza, so hii ili chukua mawiki kadhaa kwa mtu huyo kufa
 
The Brazen Bull

Hii ilifanyika zaid huko sicily na ugiriki ya zamani
Mtu alichukuliwa na kuwekwa ndani ya ngombe wa chuma, mwenye tumbo la bati
Moto uliwashwa chini kabisa ya tumbo hilo la ngombe wa bati, then bati linavo zidi kupata moto mtu alikuwa aki rostiwa na kulia kwa maumivu makaliii sanaa

Lakini kwa walio kuwa nje kwao haiku wasumbua kwani sauti ya maumivu ilikuwa ikisikika kama sauti ya ngombe au muungurumo wa mnyama hivo mtu alifariki kwa maumivu makaliii na kwa ku rostiwa mpaka akate roho lakin kwa walio nje ilikuwa ni burudani tosha
 
Duuh inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…