Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Leo katika Historia:
1945 - Chama cha Labour chashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza na kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Winston Churchill.
Leo katika Historia:
1945 - Chama cha Labour chashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza na kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Winston Churchill.
Leo katika Historia:
1947 - Rais wa Marekani anasaini muswada wa kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi nchini humo ( CIA ) pamoja na United States Airforce pamoja na idara ya Ulinzi.
Yote hii ni kutokana na tishio la vita baridi toka Urusi.
Leo katika Historia:
1953 - Fidel Castro pamoja na Camilo Cienfuegos wanaongoza jaribio lililoshindwa la kujaribu kuvamia Moncada Barracks na hiyo inasababisha kuanza kwa vuguvugu la Mapinduzi ya Cuba.
Na hapo ndio mwanzo wa kuundwa kwa " 26th July Movement " kikundi kilichopambana kuikomboa Cuba.
Leo katika Historia:
1957 - Carlos Castillo Armas anauliwa.
Alikuwa ni kiongozi wa Guatemala.
Njuri kabsa sjui weweZa mchana
kwema mzee za kwako?Za mchana