Mi nklikuwa nasubiri zen nitupie fix .....sasa unaleta masiharaDuuuh
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mafail ya 10 kubwa yamepotea
Duh nahisi mzazi wake mmoja alitembea na twiga........ siyo bureMapacha au
Ebu tupia fixMi nklikuwa nasubiri zen nitupie fix .....sasa unaleta masihara
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
................
DuuuhDuh nahisi mzazi wake mmoja alitembea na twiga........ siyo bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Fresh sana , uliadimika kidogo leoMakapuku za Leo??
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Duuuh
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mafail ya 10 kubwa yamepotea
TwinsMapacha au
DuuuhEbu tupia fix
Kuna dogo kafuta picha zote za 10,ten hapa
Ngoja nizilete
[emoji379][emoji379] [emoji379] [emoji379][emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379][emoji379][emoji379]Wakuuu kesho ntaleta top 10 leo kuna mtu kazifuta picha zangu zotee
Nzuri mkuuMakapuku za Leo??
Huyu babu jinga bure kabisaFIX ZA BITOZ V:
Babake kitaani kwetu Mabibo Beach kuna kingongo kinaitwa BABU JINGA sasa baada ya kukaa sana kijiweni nikataka kujua kwanini anaitwa Babu Jinga?
Besti wangu Ziro akacheka akasema lile kingongo nyapinyapi wa Vikudwi wakati akiwa yanki enzi hizo akiwa na tabia za kipwashwa aliokota mfuko uliojaa mapene sasa kutukana na tabia zake za kindezi akazipeleka kipukuchu zote Police Center Mabibo na kuambulia kupewa buku 10 ya kunyolea ubexhe...
Maskini Babu Jinga anazeeka now akiwa choka mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni story ambayo nimeisikia Uswaz kwetu huku
.....................
Hamna shidaNawataka radhi kwa kutokuepo 10 kubwa ila nlijiandaa kadr ya iwezo wangu na imevurugwa bila kukusudia
Salama, habari ya usiku?Makapuku za Leo??
Mupenz yako alikua anadukua nin akavuruga mafile?Nawataka radhi kwa kutokuepo 10 kubwa ila nlijiandaa kadr ya iwezo wangu na imevurugwa bila kukusudia
[emoji125] [emoji100][emoji379][emoji379] [emoji379] [emoji379][emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379][emoji379][emoji379]
[emoji378][emoji378] [emoji378] [emoji378][emoji378] [emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]
Unazingua jamaa...
Njema mkuu..Salama, habari ya usiku?