Huu mtandao mbona siku hizi umekuwa zii?Leo katika Historia:
2010 - Wikileaks inatoa taarifa za siri hadharani kuhusu Marekani kuivamia vita ya Iraq.
Moja kati ya siri muhimu kuwahi kuvujishwa nchini Marekani.
Kuzaliwa kwenye test tube kiaje yani???Leo katika Historia:
1978 - Louise Brown anazaliwa.
Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwenye Test tube.
KaribuAhsante kwa mazageti
Kapotea siku hizi!!!Leo katika Historia:
1986 - Hulk anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka nchini Brazil.
Anasifika kwa umbo kubwa na nguvu inayomfanya awe na uwezo wa kupiga sana Mashuti.
Uwe unafanya kama shululu, yeye siku nyingine huwa anasali jioni kisha kesho yake anarelaxNilipata udhuru kidogo sikwenda.
Leo siku ya kuzima mishumaa[emoji512]Leo katika Historia:
1987 - Fernando anazaliwa.
Ni kiungo wa kukaba toka klabu ya Man city na timu ya taifa ya Brazil.
Pako poa,vp weweNiaje humu ndani?
Footballer's birthday nyingineLeo katika Historia:
1988 - Paulinho anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.
Aliwahi kucheza Tottenham ya Uingereza.
[emoji120] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sina la ziada. Tukutane kesho kwa udhamini wa nguvu wa Shululu mzee wa Hijab.
Huyu ni nduguye Chris Yellow[emoji1] [emoji125]Hivi briz una undugu na Chris Brown?
[emoji106]Karibu
Poa sana vipi wewe?Niaje humu ndani?
Leo usikose kuweka riwaya... Episode kadhaaHivi briz una undugu na Chris Brown?
Ha ha ha ha digitalZamani enzi babangu alikuwa anamchumbia mpendwa mke wake ambaye ni mama yangu mambo yalikuwa tofauti sana...ilikuwa akimwita tu '...rabeka mume wangu...' siku hizi mambo yamebadilika sana! Utasikia wee Kokuteka embu niangalizie maharage jikoni huko naenda kumsuta jirani!
Safi sanaaVp lakin?
We hebu acha bangi.... Kwani jana si tulikusifia mpaka usiku tukakuota au?Jamani hatakunisifia kuwa nmetupia post ya 73k yesterday lakn wap..!
Ok ntajifagilia mwnyewe ngoja nisubiri segment yangu ifike
Cc: mussolin5
Cc:Jimena
Why...?
Kwani mimi Chi Ntu???[emoji15] [emoji15] niko alone[emoji42]
Kumbe mvua inanyesha[emoji134]View attachment 370673
Mvua....nitauzaje machungwa jamani
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
.........