Makapuku Forum

Hii salamu subiria mpaka niongezeke miaka 5 zaidi..... Salamu za mamwinyi hizi

Zamani enzi babangu alikuwa anamchumbia mpendwa mke wake ambaye ni mama yangu mambo yalikuwa tofauti sana...ilikuwa akimwita tu '...rabeka mume wangu...' siku hizi mambo yamebadilika sana! Utasikia wee Kokuteka embu niangalizie maharage jikoni huko naenda kumsuta jirani!
 
Leokatika Historia:

2007 - Pratibha Patil anaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini India.

Leo katika Historia:

2010 - Wikileaks inatoa taarifa za siri hadharani kuhusu Marekani kuivamia vita ya Iraq.

Moja kati ya siri muhimu kuwahi kuvujishwa nchini Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…