Ibaki hivihivi ni mali yetu makapuku wote hatuhitaji kuboreshwa.....tukichanganywa na wakongwe na mafaza WA Jf sana sana tutakuwa TUNATUKANANA TU
......................
Nadhani ni vema mwenye kuniweka kwenye Ile list pale juu aniweke tuu maana c lazma kupm mtu. Niwekeni pale nionekana nipewe likes. Nalala SA hii nshamchukua Nahrene nikiamka nikute likes 1000+