Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini??Nilikuwepo mbona sema we ndo ukawa ukija hunikuti[emoji3]
Hali vipi pande hizo mkuu?Naamini hivyo asante, vipi leo umepata hata lika!...mvinyo
Leo hapana,Naamini hivyo asante, vipi leo umepata hata lika!...mvinyo
Unapumzikaje huku unatype??Nimepumzika si nilikwambia sipo sawa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna Watu hawana stahaAfu bora hata hyo simu yenyewe inayoita iwe ya maana basi.. Utakuta ni kamchepuko tu kanataka kumpa hi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahaa... Usijali, wapo wa kutosha. Karibu kaka.Asante, hebu tuma hata samaki mkuu
Hahaha itakua kupumzika hakuhusishi vidole [emoji4] [emoji4]Unapumzikaje huku unatype??
Simu zinatupelekesha sanaKwa kweli simu zimetushinda watu wengi sana
Utakuta mtu una ongea naye hata hakuangalii
Ana itikia tuu mmh mmmh mmhh
Inaboaa
Nakupata sana mkuu, nafurahi unavyojitahiti kupenyeza ubunifu wako[emoji106]Vingongo= Wakongwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
HahahaaLeo hapana,
Maji tu
Wao wana spidi ya bike, sie ni ya gari hivyo haviingiliani kabisa.Jamani mmepania mmeweka spidi 120 si mtaua forum ya vingongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Umeanza upapai sasaUnapumzikaje huku unatype??
Ni kweli kabisa.Only in Tanzania
Hata mi nahisi hivyo. Vinginevyo asingesomeka hapaHahaha itakua kupumzika hakuhusishi vidole [emoji4] [emoji4]
Ila lisiwe la mkokoteni please.Unga tela
Hili nalo ni janga.. Muheshimiwa inabidi aangalie namna ya kutumbuaSimu zinatupelekesha sana
Hivi bado ipo ile forum ya kuitana majina kama shule?Wao wana spidi ya bike, sie ni ya gari hivyo haviingiliani kabisa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Umeanza upapai sasa
Niache
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
Yako poa ila nna majukumu mazito sana.., ila ngoja nijitahidi.Hivi Jana ndo ukanifanyaje sasa?
Mambo vp lakini?
Nchi yetu imejaa vituko na inatubidi vituko tufanye kama moja ya kivutio kikuu Tanzania. Hahahahaa.....Kweli hakuna namna.. Nchi ya wote híi, inabidi kuvumiliana tu