Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Sawa Kudwi mke wa PokwaHahahaaa unajishaua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Sawa Kudwi mke wa PokwaHahahaaa unajishaua
Hiyo rangi ya parachichi imetulia mno, ndo shemeji yetu nin?
Oh yeahKF iz tekin ova!!![emoji23] [emoji23]
Ngoja nione kama ntapata kuusikia au nipe jina niucheki you tubeHuyu jamaa huwa anatoaga makavu laivu kwenye nyimbo zake, huu mpya naona kamtolea uvivu meneja mmoja wa kundi la tiptop
Namba 9 nayo [emoji3] [emoji3] [emoji3]USHAURI YAKINIFU KWA WANAUME WENZANGU FANYA HIVI;
1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema.
2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao BALI kwa idadi ya wanawake aliowaambia "Mimi ni mume wa mtu" au ninae mtu tayari.
3. Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wamaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao"
4. Kila mwanamke anavutia akivaa nguo fupi inayoonesha maungo yake wazi, ila kama utakuta mwanamke amevaa nguo ndefu au za kusitiri mwili wake na bado anavutia, huyu ni dhahabu! Anathamini mali za mumewe!
5. Kamwe usimpe mwanamke mimba ya mtoto kabla hujampa mimba ya malengo na ukayatimiza.
6. Tafuta mwanamke ambae atakupa challenge ya maisha na kuongeza uwezo wako wa kufikiri na sio mwanamke wa kila kitu Ndio! au anayependa mauzo kama SIMBA wa sabasaba
7. Wanawake wakamilifu hawapatikani popote duniani, ila wanawake bora wapo kila mahali.
8. Mwanamke anaweza kukusaliti, ila Mungu hawezi kukusaliti, hivyo basi kabla hujapata mwanamke Mpate Mungu kwanza. Kuna raha sana kuwa ndani ya Mungu asikwambie mtu!
9. Kama unajijua umefikisha miaka 25 na kuendelea epuka mambo ya kivulana, kuvaa suruali katikati ya makalio, kuvaa hereni, kubadili badili wanawake kama unachambua mitumba ya KARUME au kunywa maji ili uwe MWEUPE huu ni ujinga.
10. Usitumie kichwa chako kunyoa kiduku, tumia kichwa chako kuwaza mambo yenye tija ikiwemo kutafuta pesa na kuongeza hazina ya maarifa.
"Being a male is a matter of birth, being a man is a matter of age, but being a gentleman is a matter of choice. A best choice indeed
Ha ha ha ha
Nashangaa kitufe cha picha kimefichwa.......attachment zinaboaHa ha ha ha
Unaitwa "kaa tayari"Ngoja nione kama ntapata kuusikia au nipe jina niucheki you tube
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ha ha ha ha
Shindwaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji205]Sawa Kudwi mke wa Pokwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Hii nayo kiboko
Weeeee zitauma tuUnachomoa zile malaika kimahaba haiwezi kuuma [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mzuri kama wewe mwenyewePacha wangi
Hizo utaumbukaHa ha ha ha wengi za kwapani wananyoa labda mtu uchomoe zile kwenye bustani pendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]