Wikend imeenda poa natumai na kwako piaFresh, vip weekend imekwendaje..
Conte ameanza kwa gundu atamaliza kwa gundu[emoji23] [emoji23]
Dah, namshukuru mungu, iko poa tu.Wikend imeenda poa natumai na kwako pia
Now nishawazoea ndio maana sijawahi kula BANPole mkuu ndiyo changamoto za forum
Kwa hiyo mimi ni mkishi?FIX ZA BITOZ:
Ngongo= Mkongwe/mzee/ajuza
Kibatari= Mmbea
Nyapinyapi= mtu mkware
Mkushi= Mtu kiherehere
Kikwachu= Mpenda sifa/kick
Kibwanyinyo= Mtu
mwenye shobo
Haya Vikwachu Fix za Bitoz zitaendelea kesho muda km huu......msisahau kuvisalimia Vikudwi vyenu...mi nipo na Kishkwambi changu tunakula ubeche
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Kisa nyie mmeanza vizuriConte ameanza kwa gundu atamaliza kwa gundu
Hongera mkuuNow nishawazoea ndio maana sijawahi kula BAN
..............
Khaaaaaa kiswahili kama kilughaNasikia una bwana Ngapinyapi mwenyempenda vishikwambi
Taratibu tutaelewana tu
..............
Mbona hata ninyi mmeanza vizuriKisa nyie mmeanza vizuri
Hapana ni KibatariKwa hiyo mimi ni mkishi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Vitimu vya kawaidaMbona hata ninyi mmeanza vizuri
Enzi zako hizo
Tusubiri EPL tuVitimu vya kawaida
Hujulikani, na bado unajiita mkongwe?Hahaaaa mkuu mimi ni mkongwe nisiyefahamika
[emoji6] hapana, mimi ni ngolo konteHapana ni Kibatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Shega TU.......Enzi zako hizo
Najua msimu huu utakuwa unanilisha sana tuna dogo anaitwa Woodburn 16yrs hatari sanaTusubiri EPL tu
Jidangaye tu. Sisi tuna PereiraNajua msimu huu utakuwa unanilisha sana tuna dogo anaitwa Woodburn 16yrs hatari sana
Kwani kweli jamaa ni ngongo?Hujulikani, na bado unajiita mkongwe?
Una post chache kuliko Makapuku
Una likes chache kuliko makapuku
Anyway hongera sana kwa ukongwe
Samahani mkuu kwani ukongwe ni nini?Hujulikani, na bado unajiita mkongwe?
Una post chache kuliko Makapuku
Una likes chache kuliko makapuku
Anyway hongera sana kwa ukongwe