Makapuku Forum

Haya nmeshatoboa top 20 most likes kama wengi mlivyokuwa mnataka. nipigieni makofi tafadhali.. maana kufika hapa inahitaji moyo sanaaa wera weraaaaaaaAAaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji23] [emoji41]
Hongera sana kikofia
 
Hakikisha box, Chumvi na ngedere wanakaa hapo utakuwa umenifurahisha zaidi
Ila mpaka ulipofikia unastahili PONGEZI

Nakumbuka enzi ileeee wakati unapigania digit ziwe 3[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na mchawi jr. Lazma tumbwage..
Yani tumetoka mbali sanaaaa
Yani nikitazama nyuma sioni nilipoianzia hii safari
[emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…