Makapuku Forum

Hizo ni njia rahisi za kuacha tabia usiyopenda,
Hata kama ni sigara, ulevi nk
Unachotakiwa ni kuiaminisha sub conscious mind yako kuwa hupendi kile kitu kisha utajikuta polepole unaacha na ndio maana zoezi hili unatakiwa urudie rudie
Kwa hiyo hii njia pia nikiitumia kwenye masomo unahisi kuwa nitafanikisha adhima yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…