Makapuku Forum

Nilijua ni utalii tu wa Nyumbani kumbe briz kafulia? Basi atasubiri sana
Hahaha wala sishangai.. Sie wabongo bana yan hapo ni sawa na mbongo akiwa na vijisenti kutwa kucha na mamifuko ya supermarket sijui uchumi au maisha wakati huko kwa wenzetu wanaoenda supermarket ndo kipato cha kawaida, hizo ndo mbwembwe za Szczesny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…