Makapuku Forum

1) Je wajua?
Danmark, New zealand, Finland na Sweden ndizo nchi zenye kiwango kidogo karibu na hakuna rushwa duniani?
Jimena tusaidiene hapa,
Raia wa hizi nchi kwa kiwango kikubwa ni mabahili, wale wa sekta za utailii,,guides, hotelia nk huwa hawapendi sana hawa jamaa, wabahili balaaa, suala tipu baada ya huduma huona ni rushwa, nimewahi kufuatilia utamaduni wao hasa wadanishi from viking( waiking) ni waadilifu sana, walikuwa wakituma bidhaa kwa gari na kuandika anuani zao, wanunuzi nao walipokea na kutuma pesa kama parcel kwa kutumia anuani husika, jimena kuja pliz lete uzoefu wako waswidish siwafaham saana
Asante....
Sawa tunaingoja kwa hamu hiyo je wajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…