Asante kwa magazeti barikiwa sanaView attachment 363108View attachment 363109
Kutoka katika meza ya magazeti...... Sina la ziada
Bila kusahau kuwashukuru wadhamini wetu serengeti national park
Nawatakia jumanne njema
Halafu idadi inatofautiana, wengine29 mara 30![]()
MABASI NDUGU YACHINJA 29
Hivi wamekosa maneno ya kuandika? Wamefurahishwa na hilo janga?, Magazeti ya Bongo bhana
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
..........
Asante kwa magazeti, mie huo udhamini tu..View attachment 363108View attachment 363109
Kutoka katika meza ya magazeti...... Sina la ziada
Bila kusahau kuwashukuru wadhamini wetu serengeti national park
Nawatakia jumanne njema
Kuna tofauti kati ya kuchinja na kujua.......Hao makanjanja mbwembwe nyingi hadi wanaharibu kwa kutumia lugha za bhange kurasa za mbeleHalafu idadi inatofautiana, wengine29 mara 30
Unasema kweli kabsaaKuna tofauti kati ya kuchinja na kujua.......Hao makanjanja mbwembwe nyingi hadi wanaharibu kwa kutumia lugha za bhange kurasa za mbele
Idadi inatofautiana lkn source ni RPC mmoja.......upuuzi mtupu
Siku hizi magazeti siyo ya kuyaamini
.................
Ukiishi huko hiyo hatari inakuwaje4) je wajua?
Jiji la Caracas Venezuela ndilo jiji hatari zaidi kuishi ulimwenguni
Picha zinagoma, bitoz fanya yako
Panaitwa bwelalis cityKwakweli ni pazuri na panavutia
Hatari lake ni kulimwa shaba ufe au uishi kwa hofuUkiishi huko hito hatari inakuwaje
Aiss huko hapafaiHatari lake ni kulimwa shaba ufe au uishi kwa hofu
Ukiishi huko hiyo hatari inakuwaje
KabsaaAiss huko hapafai
Asante kwa magazeti.View attachment 363108View attachment 363109
Kutoka katika meza ya magazeti...... Sina la ziada
Bila kusahau kuwashukuru wadhamini wetu serengeti national park
Nawatakia jumanne njema