Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na kina kina Bjön, Bengt Åke, Mjardell kwakweli majina yao ni shiida
Hahaha wanikumbusha mbaliii, niliwahi fika kwa jirani zao, wanataniaga sana waswidish wale walokuwa wanaruka boda kwenda kupata bia Dk sababu ni rahisi sana, mpakani wanaambiwa watamke neno moja lenye sound hii kwa kiswahili( ghughumoflee) ili kubaini kuwa ni waswid au wa dk
 
Alamsikiiiii[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
Hahaha wanikumbusha mbaliii, niliwahi fika kwa jirani zao, wanataniaga sana waswidish wale walokuwa wanaruka boda kwenda kupata bia Dk sababu ni rahisi sana, mpakani wanaambiwa watamke neno moja lenye sound hii kwa kiswahili( ghughumoflee) ili kubaini kuwa ni waswid au wa dk
Wanorway wao wanaenda kununua bia Sweden wanadai ni bei rahisi, waswid wao wanaenda Denmark kununua bia wakidai ni cheap na wadenish nao kutwa kwenda ujerumani kununua bia kwasababu eti ni bei rahisi....
Hawa wote watatu ni watani wa jadi ila wanaishi kwa upendo sana
 
Kweli kabisa
 
1467693953518.jpg
1467693960748.jpg
1467693968749.jpg
 
Back
Top Bottom