Makapuku Forum

Ina makumbusho ya ndege aina nyingi sana walohifadhiwa kitaalam, black and white collubus, wanyama aina mbalimbali kwenye uwanda uitwao serengeti ndogo, ina kreta, maziwa madogomadogo, inavutia kiasi chake...bila kusahau kupanda mlima Meru
Aisee! pako vizuri kumbe, ushawah panda mlima braza? Natamani nipande mlima ila nianze kilimanjaro kwanza
 
Hapo nimepata picha
 
Maybe...hiyo njia ya loliondo nilihadithiwa naskia ni balaa
Mkuu nchi hii inavivutio vingi balaa, kabla hujafika natron kuna bonde paaana sana pembeni ya mlima oldonyo lengai, kuna wanyama weengi sana, ukimdanganya mgeni kuwa ni serengeti ataamini, baada ya natron iliyopambwa na ndege aina ya flamingo, kuna kilima chenye kona 17 kimepambwa na mawe/ majabali yamejipanga kama tofali yanavutia hakuna mfano
 
Halafu eti ni nchi masikini[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Tanzania ni nchi inayovutia sana kuna mtu aliwah kuniambia kwa uzuri huu tanzania ndo ile nchi inayotajwa kwamba ni ya ahadi... Hao flamingo wanapendezesha sana ziwa manyara pia na kuna science moja nilipewa pale jinsi hao ndege wanavyopata prey yao kwenye maji ni noma sana wale maprofessional tourguide wanajua sana aisee
 
Uko sahihi, ukitembelea kule unahisi ka vile uko nje ya tz kumbe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…