Ni kweli kabisa hii ishu kenya wanafaidika zaid ingawa hao nyumbu wanakaa muda mrefu zaid upande wa tanzania, wakenya wana-take adventage pale hao nyumbu wanapohamia upande wa kenya masai maraMy wii hiyo ni amazing sanaaa
Sema TUKO nyuma sana ku advertise utalii wetu, Kenya wanapata sana watalii kwa hiyo issue ya uhamaji WA wanyama na inatokea kila mwaka
Nafurahi kusikia hivyo nduguNi poa sanaa ndugu yangu
Shem namis toka kwako bhanaNi poa sanaa ndugu yangu
[emoji106] [emoji106]Nafurahi kusikia hivyo ndugu
Shem namis toka kwako bhana
Mkuu sijui nani katuloga!Ni kweli kabisa hii ishu kenya wanafaidika zaid ingawa hao nyumbu wanakaa muda mrefu zaid upande wa tanzania, wakenya wana-take adventage pale hao nyumbu wanapohamia upande wa kenya masai mara
Yani sisiMy wii hiyo ni amazing sanaaa
Sema TUKO nyuma sana ku advertise utalii wetu, Kenya wanapata sana watalii kwa hiyo issue ya uhamaji WA wanyama na inatokea kila mwaka
Karibu tena wiiNi poa my wii
Nafurah kuwaona tenaaa
Szczesny angekuepo hapa angeshaahidi kukupeleka huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni mpya kabisa kwangu
Ni pazuri sana yan kwa mtu anayependa adventures hatakiwi kukosa kabisaBasi ni vyema umepata kitu kipya jioni hii.
Kwa kweli serengeti ni pazuri sana
Makapuku jipangeni kwenda kufurahia
Kwa kweli, nashauri tuwe na utamaduni wa kutembelea hifadhi zetuNi pazuri sana yan kwa mtu anayependa adventures hatakiwi kukosa kabisa
Shululu ako safarini, network ni shidaMzee wa Top 10 na shululu wako wapi?
Hapa tunalishana matango pori, ni kama tulivyodanganywa kwenye huduma za kibenki kumbe ongezeko ni kiasi tu tena kwa mwananchi mtanzania ni cheap kabisaNasikia siku hizi hakuendeki
kodi juu
Hii ni habari njemaHapa tunalishana matango pori, ni kama tulivyodanganywa kwenye huduma za kibenki kumbe ongezeko ni kiasi tu tena kwa mwananchi mtanzania ni cheap kabisa
Inapendeza kapuku tumefikia hatua ya kupeana taarifa kujuzana tulipoShululu ako safarini, network ni shida
Anategemea kurudi mjini kuanzia alhamisi hivyo maybe ijumaa nukuu ya Leo itarudi ikiwa katika ubora wake
Mtu azibe pengo sasaShululu ako safarini, network ni shida
Anategemea kurudi mjini kuanzia alhamisi hivyo maybe ijumaa nukuu ya Leo itarudi ikiwa katika ubora wake
Hakusema yuko wapi ila alisema atasafiri na aendako network ni majanga ila anatarajia kurudi alhamisi ya wiki hiiInapendeza kapuku tumefikia hatua ya kupeana taarifa kujuzana tulipo
Nina wasiwasi anaweza akawa kama kj..maisha bora kwa @ mtanzania halafu yakawa....