Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inasemekana alimfanyia fitna Camilo Cienfuegos ( Jamaa aliyepo kwenye avatar yangu ) na kumpoteza duniani.

By the way ni mmoja kati ya viongozi makini waliowahi kutokea katika uso wa dunia na namkubali sana kwani kama sio ushupavu wake leo hii Cuba ingekuwa sehemu ya USA.

Kiongozi pekee aliyenusurika majaribio mengi ya kuuwawa. Majaribio 82.
Hata mi namkubali sana
 
Na sisi tumesikia tetesi kwamba umetumwa na akina Igweeee na Ngedere Ungabure
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
............
tetesi zimeenea dereva wenu kipofu,eti wanawaita nyumbu😉
 
Back
Top Bottom