Hii sikuwahi kuisikia kabisa(5) Je wajua? Kiongozi anayeshikilia rekodi ya 5,
Mao Zedong kiongozi na mwasisi wa Jamhuri ya watu wa China unayoiona leo, alizima uvamizi wa Wajapani, ndiye aliyeasisi misingi ya uchumi na mshikamano wa China ya leo
View attachment 362570
Kauzu kuliko dagaa(6)kiongozi 6 wa wakati wote ni:
Adolf Hitla
Wengi mnaweza kushangaa kutokana na sifa zake mbaya kwa upande mwingine lakini kwa upande wa pili ni kiongozi mzuri sana hasa kwa mbinu za kivita na mikakati mizuri ya kiuchumi
View attachment 362572
Kushinda bitoz[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kauzu kuliko dagaa
Kuna tofauti kati ya kukonda na kuwa mwembamba, hao unaowasema nadhani ni watu wembamba ambao miili yao inakua imebalance pamoja na wembamba wao ila wale rohombaya unakuta wameshupaa kama kuni ati, gubu baya sanaNi kweli kabisa
Ila wengine hawanenepi hata iweje
Tatizo kubwa la huyu bwana ilikua ni tamaa ya kutaka kuihodhi dunia(4)kiongozi wa wakati wote namba 4
Abraham Linkolin
Rais wa 16 wa Marekani, huyu alichaguliwa wakati Marekani haina utulivu, kulikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe..civil war, akafanikiwa kurejesha utulivu na kuwa wamoja.
View attachment 362562
Ni nani huyo, ngedere au?Mbona mm nna kinyongo na ww hapo[emoji37]na sitaki kukusamehe kamwe
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ngoja niitafute hii french revolution niipitie, naskia raia walikufa balaa ila mwisho wa siku walimu-assassinate yule mfalme wa mwanzo na monarchy yake(8)Napoleon Bonaparte
Huyu alikuwa kiongozi wa Kijeshi..Ufaransa aliyeinuka baada ya mapinduzi..French revolutionView attachment 362575
Icheki ujazie nyama, mimi natoa dondoo tuNgoja niitafute hii french revolution niipitie, naskia raia walikufa balaa ila mwisho wa siku walimu-assassinate yule mfalme wa mwanzo na monarchy yake
LolKushinda bitoz[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili nalo nenoKuna tofauti kati ya kukonda na kuwa mwembamba, hao unaowasema nadhani ni watu wembamba ambao miili yao inakua imebalance pamoja na wembamba wao ila wale rohombaya unakuta wameshupaa kama kuni ati, gubu baya sana
Duu(9)Franklin D Roosevelt,
Huyu ni rais wa Marekani kati ya 1933-1945, alidhikwa na ugonjwa wa kupooza akiwa na miaka 29 na bado akagombea urais na akachaguliwa.
Aliiongoza Marekani wakati wa kipinfi kigumu dana..great depression.View attachment 362585
Poa mkuu, ntarud tena baadae kidogo muwe na wakati mwemaIcheki ujazie nyama, mimi natoa dondoo tu
Samahani ni wa 1211) Asoka Empera wa mwisho wa IndiaView attachment 362600