Poa piaMi mzima dadake, za toka majuzi?
Maneno kuntu kabisa kutoka kwa mhindi huyuJe wajua?
Leo tutaangazia viongozi wa wakati wote.
Hawa ni aina ya viongozi waliofanikiwa kuleta mabadiliko makubwa katika jamii inayowazunga na dunia pia kwa kuwa na sifa za kipee katika uongozi wao.
(1) Mahatma Gandhi
Huyu alikuwa kiongozi nchini India na aliyeheshimika sana na aliyeandika nukuu 10 zinazotumiwa sana dunianiView attachment 362535
Nukuu zake
(a)View attachment 362536
Nafurah kuskia hivyo nduguPoa pia
Kwema kabisa mkuu,jumapili unaendaje??Ni njema mkuu, kwema pande hizo?
Unajua nimezoea kula chakula ulichopika leo sjafurahi kapika mwingine..najua utanielewa, hakikisha kesho unapika mapemaaaManeno kuntu kabisa kutoka kwa mhindi huyu
Jumapili ni tulivu kabisa mkuuKwema kabisa mkuu,jumapili unaendaje??
Leo pia niliwahi ila nikakuta ndio anafanya mambo nikakubali matokeoUnajua nimezoea kula chakula ulichopika leo sjafurahi kapika mwingine..najua utanielewa, hakikisha kesho unapika mapemaaa
Ndio. Kusamehe na kusahau, Mi mtu hata akiniudhi vipi naweza kumsamehe bila hata yeye kuniomba msahama(2) (a)
sifa kuu ya mandela ni msamaha kwa makaburu waliomfunga na kumtesa kwa miaka ya kutosha...je wew waweza kusamehe waliokukosea?
View attachment 362547
Baba wa taifa la india, naskia wahindi wanamkubali sana na kumuona ka mtakatifu.. hiyo Mahatma ni SaintManeno kuntu kabisa kutoka kwa mhindi huyu
Hakika unasema kweli..hili nimethibitisha...basi wewe ni strong..rejea nukuu ya GadhiNdio. Kusamehe na kusahau, Mi mtu hata akiniudhi vipi naweza kumsamehe bila hata yeye kuniomba msahama
Ili mradi tu nimwambie ukweli hasira zangu ziishe au nikifurahi sana nasamehe...
Life is too short to be anything but happy
Kusamehe nacho kama kipaji si kila mtu anaweza(2) (a)
sifa kuu ya mandela ni msamaha kwa makaburu waliomfunga na kumtesa kwa miaka ya kutosha...je wew waweza kusamehe waliokukosea?
View attachment 362547
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hakika unasema kweli..hili nimethibitisha...basi wewe ni strong..rejea nukuu ya Gadhi