Makapuku Forum

Aah polen na kaz za siku nzima wakuu
Tuna endelea na vibe za wedding vile vile

Wakati last segment tulizungumzia talaka zenye gharama kubwa zaid duniani na tulienda fureshi wote

Nadhan pia lazima tujue wakati wengine huanza ndoa kwa kuvumiliana na kupendana kwa nguvu, mambo baadaye huwa magumu na wanachokana na kuachana

Lakin wengine huwa wana achana mpeeeema
Wengine hawa vumilii
Wao fasta fasta huachana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…