Very very true, ila sasa ndo wameshaishikilia teknolojia mi nafikiri waafrika tungeanza kwa kubadilisha kwanza hizi mindset na perception, haya mambo tunayofundishwa shule kwenye history kwamba tumeoriginate kutoka kwa nyani ndo yanatuharibu kuanzia mwanzo kabisa