Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,107
Zishafika..... Sasa uwanja tumuachie Cobblepots mzee wa night kaliBado hazijafika tu Jimana??
Zishafika..... Sasa uwanja tumuachie Cobblepots mzee wa night kaliBado hazijafika tu Jimana??
Hongera dadakeKiroho safi
Nimetupia ya 63k sasa roho yangu kwatuuu
Nite nite
Hujui kulengaI Quit
Haiezekan napata kila sku
-1 au +1
NiteJaman gud nyt nalala
Huu mchezo hauihitaji hasiraNastaafuuu
![]()
Asante sanaHongera dadake

Lala salama, Mungu akulinde na aulainishe moyo wako!! wakujali wale wanaoonyesha kukujali...dharau na kila aina ya kiburi ikae mbali nawe kwasababu hauendani navyo. Amen!!!!!!Zishafika..... Sasa uwanja tumuachie Cobblepots mzee wa night kali
Dah zilivyokaribia simu ikawa nzito balaa haha no wonder nimeikosa hyo... Cobblepots anaweza akaibuka time yeyote ndo mida yake hiiZishafika..... Sasa uwanja tumuachie Cobblepots mzee wa night kali
Hongera, unajua kuziotea.
Hahaha ipo siku tu
ile rekodi inahitaji uwe mteule yaani mwenye bahati zake kama si ngekewa.Asante sana Mussolin5 japo bado sijaweza vunja ile rekodi yako
Tchao!Nahitimisha kikao cha leo mpaka pale kesho tena tutakapokutana.
Usiku mwema...
Mungu sio Briz wala Sio Mussolin5Hahaha ipo siku tu
Ni kweli bro, naanza kuweka lengo na kupanga strategy za 100k... Tutakutana huko wazee wa kuzioteaMungu sio Briz wala Sio Mussolin5
Ipo siku tena utatusua ya maana.