Rais aliye pita alikuwa ana pokelewa na ma meya, madiwani, wenye viti wa bodi mbali mbali, adi na mahead masterAhsante mkuu...JK Nyerere alikuwa smart sana! Angalia amepokelewa na Mkuu wa Nchi husika, lakini angalia viongozi wa leo wanavyojipendekeza kwenda Ughaibuni na kupokelewa na watendaji wa kawaida.
Kumekuchwa!!Ni njema kaka
[emoji125] [emoji100]Mambo ya [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383]
Mkuu kesho itakuwa safi kama tutajua kuwa muda gani ndo nukuu ya leo itakuwa hewani....Asante sana mkuu szczesny
pamoja sana!Asante muzee
Nakuaminia
Asante sanaAsante sana
Inaleta raha sana pale unapofanya kitu na watu wakakubali
Hongera kumi 10 ni homa ya jiji
Mi pia niko poa....Fresh Jimena, za wewe? Nlikumisije nkaonelea nipite huku japo nikutie machoni
Sasa ya kwako si ndo ya kwetu yenyewe hyoNjoo uchukue ya kwangu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Dharau kubwa sana, ila yeye hakujali aliishia kukenua.Rais aliye pita alikuwa ana pokelewa na ma meya, madiwani, wenye viti wa bodi mbali mbali, adi na mahead master
Ilikuwa sasa hadi ni dharau
Na makucha yake!Kumekuchwa!!
Huu sasa utaniRais aliye pita alikuwa ana pokelewa na ma meya, madiwani, wenye viti wa bodi mbali mbali, adi na mahead master
Ilikuwa sasa hadi ni dharau
HahahaRaha ni pale unapopokea kitita cha [emoji383] [emoji383] [emoji383]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rais aliye pita alikuwa ana pokelewa na ma meya, madiwani, wenye viti wa bodi mbali mbali, adi na mahead master
Ilikuwa sasa hadi ni dharau
HaswaaaMkuu kesho itakuwa safi kama tutajua kuwa muda gani ndo nukuu ya leo itakuwa hewani....
Asikwambie mtu raha ya chai iwe ya moto
EeeehHuu sasa utani
Diwani kumpokea rais[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbavu zangu.. eti ma headmaster!!
hakika...Na makucha yake!
Hawataweza.....Asante sana
Wewe ile ya magazeti ndo shida mpaka wana taka waku nyang'anye sasa
Lol[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dharau kubwa sana, ila yeye hakujali aliishia kukenua.
Mzee wa Msoga hakuwahi kujali hiloHuu sasa utani
Diwani kumpokea rais[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]