Siku ikitokea ajali na kufa watu 50 vichwa vya habari vitakuwa hivi
1/Ajali yaua wanawake 10
2/Vichanga 6 vyafariki ajalini
3/Kiongozi mmoja afa ajalini
4_Wanafunzi 20 wafariki ajalini
Yaani full magumashi ujuaji mwingi
Siku ikitokea ajali na kufa watu 50 vichwa vya habari vitakuwa hivi
1/Ajali yaua wanawake 10
2/Vichanga 6 vyafariki ajalini
3/Kiongozi mmoja afa ajalini
4_Wanafunzi 20 wafariki ajalini
Yaani full magumashi ujuaji mwingi
Mkuu tunalazimishwa kupotea na Magu ila tunapopata nafsi kama hivi ya kujuliana hali na ndugu zetu, tunaitumia vema nashukuru kukuona ukiwa na afya njema.